Lugha Nyingine
Taa zitawashwa na kuangaza Majengo ya Alama mjini Beijing kuadhimisha miaka 75 ya Jamhuri ya Watu wa China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2024
Watalii wakitembelea Mtaa wa Qianmen na Jengo la Mshale la Lango la Zhengyang la Beijing, mji mkuu wa China, Septemba 26, 2024. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Taa zaidi ya 2,800 zitawashwa na kuangaza majengo ya alama mjini Beijing kuanzia leo Septemba 29 hadi Oktoba 7 ili kuadhimisha miaka 75 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China.
Taa hizo maalum zilizoboreshwa zitaangaza kwa kuvutia zaidi majengo makubwa ya alama yaliyopo kwenye kando za mstari wa katikati wa Beijing kama vile Lango la Yongding na Majengo ya Kengele na Ngoma kwa ajili ya likizo hiyo ijayo ya Sikukuu ya Taifa .?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma