Lugha Nyingine
Mapambo ya Kupendeza yawekwa ili kukaribisha Siku ya Taifa la China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2024
Picha ikionyesha mapambo ya maua ya “Sherehe ya Pamoja” kando ya Barabara ya Chang'an mjini Beijing, Septemba 25. (Xinhua/Ju Huanzong) |
Wakati Siku ya Taifa la China ambayo mwaka huu ni ya kusherehekea miaka 75 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China ikikaribia, maeneo mbalimbali nchini China yamepambwa kwa maua na taa za kijadi zenye kupendeza na kuvutia watu, zikionyesha hali ya furaha na amani.?
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma