<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Maonyesho ya tatu ya biashara ya kidijitali yaangazia uvumbuzi wa AI, uchumi wa mwinuko wa chini (3)

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2024
    Maonyesho ya tatu ya biashara ya kidijitali yaangazia uvumbuzi wa AI, uchumi wa mwinuko wa chini
    Wafanyakazi wa mauzo wakinadi bidhaa za Afrika kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandanoni kwenye Maonyesho ya tatu ya Biashara ya Kidijitali Duniani mjini Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Septemba 25, 2024. (Xinhua/Huang Zongzhi)

    HANGZHOU - Maonyesho ya tatu ya Biashara ya Kidijitali Duniani yenye kaulimbiu isemayo "Biashara ya Kidijitali, Ufikiaji wa Kimataifa," yamefunguliwa huko Hangzhou, mji mkuu wa Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, jana Jumatano, yakionyesha ubunifu wa hivi punde zaidi wa kiteknolojia na maendeleo ya biashara ya sekta ya uchumi wa kidijitali.

    Maonyesho hayo ya mwaka huu yamevutia kampuni zaidi ya 1,500 kutoka ndani na nje ya China, kati ya hizo zaidi ya 300 ni kampuni za kimataifa. Wanunuzi zaidi ya 30,000 wamejiandikisha kwa ajili ya maonyesho hayo, huku zaidi ya 6,000 kati yao wakitoka nchi na maeneo ya nje ya China.

    Bidhaa na teknolojia mpya jumla ya 446 zimepangwa kuonyeshwa katika maonyesho hayo ya siku tano. Hasa, maonyesho hayo ya mwaka huu yameweka maeneo maalum ya maonyesho ya roboti zenye teknolojia za akili mnemba (AI) na suluhu za teknolojia za kisasa za vyombo vya usafiri vya uchumi wa mwinuko wa chini.

    Thamani ya uchumi wa mwinuko wa chini wa China inakadiriwa kuwa ilizidi yuan bilioni 500 (dola za kimarekani karibia bilioni 70.1) Mwaka 2023, na kiwango chake kinatarajiwa kupanda hadi kufikia yuan trilioni 2 ifikapo Mwaka 2030, takwimu za Idara ya Usafiri wa Anga ya China (CAAC) zinaonesha.

    Yakiwa yameandaliwa kwa pamoja na serikali ya Mkoa wa Zhejiang na Wizara ya Biashara ya China, shughuli hiyo kwa sasa ni maonyesho pekee ya biashara ya kidijitali nchini China katika ngazi ya kitaifa. Sekta ya kidijitali ya China imeshuhudia ukuaji mkubwa katika miaka ya hivi karibuni, ikiripoti mapato ya jumla ya yuan trilioni 32.5 Mwaka 2023.

    (Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>