<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Maonyesho ya pili ya Mnyororo wa Usambazaji ya China kuongeza uungaji mkono kwa washiriki wa Afrika

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024

    BEIJING - Maonyesho ya pili ya Kimataifa ya Mnyororo wa Usambazaji ya China (CISCE), yaliyopangwa kufanyika kuanzia tarehe 26 hadi tarehe 30 Novemba mwaka huu, yatatoa uungaji mkono zaidi kwa washiriki kutoka nchi za Afrika, Kamati ya Kukuza Biashara ya Kimataifa ya China (CCPIT) imesema Jumapili.

    Msemaji wa CCPIT Wang Linjie amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari kuwa, lengo la kuimarisha Uungaji mkono ni "kufungua zaidi soko la China kwa Afrika kwa hiari na kwa upande mmoja," kufuatia uamuzi uliotolewa kwenye Mkutano wa Kilele wa Mwaka 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika mapema mwezi huu.

    Amesema, maonyesho hayo yataweka mikakati kwa nchi mahsusi ili kuendana vyema na usambazaji na mahitaji, kusaidia kampuni za Afrika kupata washirika na wanunuzi mwafaka nchini China.

    Pia yatahusisha baraza na shughuli za pembezoni zikikutanisha pamoja wajumbe kutoka serikali za Afrika, jumuiya za wafanyabiashara, washauri bingwa na mashirika ya kimataifa, zikilenga kuimarisha uwepo wa Afrika katika ushirikiano wa kimataifa wa mnyororo wa viwanda na usambazaji, ameongeza msemaji huyo.

    "Tutatumia kikamlifu mchango wa CISCE katika kukuza biashara, uwekezaji, uvumbuzi na mabadilishano ili kusaidia kampuni za China na Afrika kuimarisha ushirikiano wa mnyororo wa viwanda na uambazaji, huku tukijikita katika kusaidiana kukuza biashara, maslahi ya pamoja na maendeleo ya pamoja," Wang ameongeza.

    Nchi nyingi za Afrika, ikiwa ni pamoja na Ethiopia, Cote d'Ivoire, Rwanda na Morocco, pamoja na Umoja wa Afrika, zimethibitisha ushiriki wao katika maonyesho hayo, yanayoangazia sekta kama vile kilimo na madini.

    Ripoti rasmi ya hivi karibuni inaonyesha kuwa China imeendelea kuwa mshirika mkubwa zaidi wa kibiashara wa Afrika kwa mwaka wa 15 mfululizo, huku thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili ikifikia dola za kimarekani bilioni 282.1 Mwaka 2023.

    China imetangaza kuwa itasamehe ushuru wa asilimia 100 ya bidhaa kutoka nchi zote zilizoko nyuma kimaendeleo ambazo zina uhusiano wa kidiplomasia na China, zikiwemo nchi 33 barani Afrika.?

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线
    <sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>