<sup id="2yyyy"></sup>
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <sup id="2yyyy"></sup>
    <tr id="2yyyy"><blockquote id="2yyyy"></blockquote></tr>
  • 
    
  • <sup id="2yyyy"><code id="2yyyy"></code></sup>
  • <nav id="2yyyy"><cite id="2yyyy"></cite></nav>
  • <tfoot id="2yyyy"><dd id="2yyyy"></dd></tfoot>
  • 免费a级毛片出奶水在线,18禁无遮拦无码国产在线播放 ,2020国产午夜福利久久,成年女人毛片免费观看中文

    Kampuni za Kuunda Magari za China zatafuta fursa katika soko la Afrika

    (Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 24, 2024

    Ke Chuandeng (Kulia), makamu mkuu wa Kampuni ya Magari ya JETOUR, akizungumza kwenye mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Septemba 20, 2024. (Xinhua/Zhang Yudong)

    JOHANNESBURG – Kampuni za kuunda magari za China zinaongeza kasi ya upanuzi wao wa kimataifa, kwa kujikita hasa kuongeza uwepo wao katika nchi za Afrika. Siku ya Ijumaa, kampuni ya magari ya JETOUR, ambayo ni chapa ya magari ya China, ilizindua modeli mbili mpya za magari yenye usukani upande wa kulia (RHD), DASHING na X70PLUS, mjini Johannesburg, Afrika Kusini, ikiashiria hatua nyingine ya kusonga mbele katika ukuaji wake wa kimataifa.

    Mwaka 2023, China iliuza nje magari milioni 4.91, ikifikia ukuaji wa mwaka hadi mwaka wa asilimia 57.9, na kuifanya kuwa muuzaji mkubwa zaidi duniani wa magari kwa mara ya kwanza. Ukuaji huo mkubwa umechochewa na kuongezeka kwa mauzo ya magari yanayotumia nishati mpya (NEVs), ambayo yaliongezeka kwa asilimia 77.6 kufikia magari zaidi ya milioni 1.2 mwaka jana.

    "Mwelekeo wa upanuzi wa kimataifa unatoa fursa kubwa kwa kampuni za magari za China," Li Xueyong, mkuu wa JETOUR, ameliambia Shirika la Habari la China, Xinhua katika mahojiano ya hivi karibuni, akiongeza kuwa kampuni hiyo imeanzisha mitandao zaidi ya 600 ya mauzo na huduma katika nchi zaidi ya 50.

    Ikiwa nchi yenye nguvu kiuchumi katika Bara la Afrika, Afrika Kusini inajivunia soko la magari lililokomaa. Tangu kampuni za kuunda magari za China ziingie katika soko la Afrika Kusini muongo zaidi ya mmoja uliopita, chapa zaidi ya 10 za China zimejitokeza na kupata mauzo makubwa.

    "Tumeweka umuhimu mkubwa katika soko la Afrika Kusini, ambalo lina ushindani mkubwa na limekomaa, na tumefanya maandalizi ya kina kuingia humo," amesema Ke Chuandeng, makamu mkuu wa JETOUR. Ameongeza kuwa kampuni hiyo inalenga kuanzisha mitandao 40 ya mauzo nchini humo ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuuza magari 30,000 katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.

    Kwa JETOUR, Bara la Afrika lina uwezo mkubwa wa fursa za maendeleo ya NEV.

    "Nchi za Afrika zina rasilimali nyingi za madini ya chuma kama vile lithiamu na nikeli, yanayotoa malighafi ya kutosha kwa betri. Uzalishaji na uunganishaji sehemu za magari wa Afrika Kusini ulianza mwanzoni mwa karne ya 20, ukiweka msingi imara wa tasnia yake ya magari," amesema Ke.

    Li Xueyong (L), mkuu wa Kampuni ya Magari ya JETOUR, akizungumza kwenye mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Septemba 20, 2024. (Xinhua/Zhang Yudong)

    Li Xueyong (L), mkuu wa Kampuni ya Magari ya JETOUR, akizungumza kwenye mahojiano na Shirika la Habari la China, Xinhua mjini Johannesburg, Afrika Kusini, Septemba 20, 2024. (Xinhua/Zhang Yudong)

    (Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

    Picha

    免费a级毛片出奶水在线