Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING- Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye siku ya Ijumaa, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo viongozi hao wawili wametangaza kuinua uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir siku ya Ijumaa, ambaye yuko hapa kuhudhuria Mkutano wa Kilele was 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na viongozi hao wawili kwa pamoja wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati.…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa Kilele wa FOCAC. (Xinhua/Yan Yan)
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema China imekuwa mshirika wa kweli katika maendeleo ya Afrika, na ushirikiano kati ya Afrika na China utasaidia kujenga maendeleo na ustawi wa pamoja wa siku zijazo.…
Baadhi ya wanafunzi wa Kenya wanaosoma Chuo Kikuu cha Jiaotong cha Beijing, China ambao hapo awali walimwandikia barua Rais Xi Jinping wa China na kupokea jibu lake wameeleza kuwa reli ya SGR ya Mombasa-Nairobi iliyojengwa na Shirika la Madaraja la China imeleta mageuzi makubwa katika sekta za uchumi na usafirishaji nchini Kenya.
Wanafunzi hao walimwandikia barua Rais Xi mwezi Oktoba mwaka jana baada ya kumaliza masomo yao katika chuo hicho, wakieleza shukrani zao kwake kwa kuja na Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja ambalo limeleta manufaa makubwa kwa watu na nchi mbalimbali duniani ikiwemo Kenya ambayo imenufaika na miradi ya ushirikiano wa pande mbili ikiwemo miundombinu hususan reli hiyo ya SGR ya Nairobi-Mombasa ambako wanafanya kazi na fursa za ufadhili wa masomo ambazo wao ni moja ya wanufaika.…
Rais wa Comoro Bw. Azali Assoumani amesema, katika ushirikiano na nchi za Afrika, China siku zote imekuwa ikifuata kanuni za kutendeana kwa usawa na kushirikiana kwa mafanikio bila kujali ukubwa wa nchi, jambo ambalo limeweka msingi wa ushirikiano kati ya nchi za 'Dunia ya Kusini' na kuwezesha kujenga dunia ya haki ambayo maslahi ya pande zote yanalindwa.…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi (mbele katikati)
(Xinhua/Shi Yu)
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Felix Tshisekedi amesema China imedhihirishwa kuwa ni mwenzi wa kutegemeka katika maendeleo ya bara la Afrika.
Akizungumza siku chache kabla ya kuhudhuria mkutano wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) unaofanyika hapa Beijing, Rais Tshisekedi amesema, chini ya mifumo kama FOCAC, miradi mingi ya ushirikiano imetekelezwa nchini DRC, na kutolea mfano mradi wa bandari kavu ya Sakania, kituo cha kuzalisha umeme cha Busanga, na kituo kidogo cha Kinsuka.…
Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utafanyika kuanzia kesho Jumatano mjini Beijing na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki Dkt. Caroline Asiimwe amesema kuwa, mabadiliano na ushirikiano wa nyanja ya lugha kati ya China na Afrika yanasaidia kuunganisha mawasiliano ya watu kati ya pande hizo mbili.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING- Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye siku ya Ijumaa, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo viongozi hao wawili wametangaza kuinua uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING - Rais Xi Jinping wa China amekutana na Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir siku ya Ijumaa, ambaye yuko hapa kuhudhuria Mkutano wa Kilele was 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) na viongozi hao wawili kwa pamoja wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati.…
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia ufunguzi wa Mkutano wa Kilele wa FOCAC. (Xinhua/Yan Yan)
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema China imekuwa mshirika wa kweli katika maendeleo ya Afrika, na ushirikiano kati ya Afrika na China utasaidia kujenga maendeleo na ustawi wa pamoja wa siku zijazo.…
(Xinhua/Ding Lin)
Rais Xi Jinping wa China amekutana na mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud siku ya Ijumaa ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).
Viongozi hao wawili wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano kati ya China na Somalia kuwa uhusiano wa washirika wa kimkakati.…
(Xinhua/Yao Dawei)
Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Jamhuri ya Kongo Denis Sassou Nguesso siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na kufanya ziara nchini China.
Rais Xi ameipongeza Jamhuri ya Kongo kuwa mwenyekiti mwenza wa FOCAC.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING- Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye siku ya Ijumaa, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo viongozi hao wawili wametangaza kuinua uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.…
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).…
(Xinhua/Ding Lin)
Rais Xi Jinping wa China amekutana na mwenzake wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud siku ya Ijumaa ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).
Viongozi hao wawili wametangaza kuinua hadhi ya uhusiano kati ya China na Somalia kuwa uhusiano wa washirika wa kimkakati.
(Xinhua/Yao Dawei)
Rais Xi Jinping wa China amefanya mazungumzo na mwenzake wa Jamhuri ya Kongo Denis Sassou Nguesso siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria mkutano wa kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika na kufanya ziara nchini China.
Rais Xi ameipongeza Jamhuri ya Kongo kuwa mwenyekiti mwenza wa FOCAC.
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Ding Lin)
BEIJING- Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye siku ya Ijumaa, ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) ambapo viongozi hao wawili wametangaza kuinua uhusiano wa pande mbili hadi kuwa ushirikiano wa kimkakati wa pande zote.
Rais wa China Xi Jinping akikutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina ambaye yuko mjini Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, China, Septemba 6, 2024. (Xinhua/Huang Jingwen)
BEIJING - Rais wa China Xi Jinping amekutana na Rais wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina siku ya Ijumaa, ambaye yuko Beijing kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC).